Asante sana kwa maelezo mazuri.Nolilishaanza kama miezi mitatu hivi ni kweli nikawa nahisi kama sielewi elewi hivi.1. Unaweza kusoma bila kwenda chuo na ukaelewa ila inahitaji nguvu ya ziada. Kma unajifunza mwenyewe ni lazima kwanza uelewe basics vizuri kabla ya kukimbilia mambo mengine.
Kwanza ujue unataka kujifunza programming kwa lengo gani. Ukishajua hapo ndio utajua language gani uanzie na kuendelea baada ya hapo.
Pia Ufahamu kuwa kma hujawahi kabisa kujifunza mambo haya itakuchukua muda kidogo kuelewa vizuri. Usitegemee kwamba utajisomea miezi 6 na utaweza kutengeza full functioning app kwa muda huo na kuelewa vizuri concept za programming.
2. Kuhusu fursa hapo sasa inategemea.
Kwa employment hapa bongo ni almost impossible kma huna degree ya comp science fields. Bongo bado waajiri wanaangalia vyeti.
Nje ndio unaweza pata kazi bila cheti kma una portfolio nzuri uliyojijengea.
Hapo ni upate remote jobs au uwe upo kabisa kwenye nchi husika.
Kwenye kujiajiri hapo sasa ndio unaweza pata hela kwa uhakika. Unaweza kuwa freelancer kwenye websites mbali mbali au kufanya project zako mwenyewe na kutengeneza hela.
Cha muhimu ni kwamba kabla hujaanza unatakiwa uwe na dedication na kujua kutenga muda kujufunza (haswa kma upo kazini). Inaweza kuchukua hata mwaka kujua vizuri language uliyooanzia. Lakini ukishajua moja basi zingine inakuwa rahisi kidogo kuzielewa sababu basic concept ni sawa kote (ndio maana nasisitiza kuwa ujue basics vizuri).
Sehemu za kujifunzia nakushauri utumie course websites kama Udemy, Coursera, Jetbrains Academy au Udacity na vitabu (vitabu ni muhimu sana katika kuelewa language). Usitegemee YouTube 100% kujifunzia, maana mara nyingi huwa hawaelezei basic concepts kwa mfumo mzuri.
Kuna muda utajikuta kma huelewi kitu kabisa na hii ni kawaida, usikate tamaa. Pumzisha akili kidogo na uje uendelee baadae, utaelwa tu. Ukiona huelewi kitu search Google utafute maelezo zaidi, hii ndio njia nzuri ya kuelewa.
Pia kuna nyuzi nyingi tu humu Jf zinaongelea haya mambo. Zitafute uzipitie ziatakupa muongozo.
Kuhusu mambo ya affiliate marketing hapo hauhitaji tena mambo ya kusoma programming.Asante sana kwa maelezo mazuri.Nolilishaanza kama miezi mitatu hivi ni kweli nikawa nahisi kama sielewi elewi hivi.
Nafikiria kutumia fursa za mitandao walau kutengeneza hela ya ziada ndio maana nikafikiria hilo
Nimekuwa nikisoma mtandaoni kuwa kuna baadhi ya watu wanafanya affiliate marketing nk.
Unatakiwa ufahamu nini zaidi Ili ufanikiwe?
Affiliate marketing unapachika kokote kule. Kma una website inayo review products unaweza weka, kma una twitter account unaweza pachika affiliate links kwenye tweets zako zilizoenda viral, kma una YouTube channel pia unaweza pachika links zako baada ya kuongelea kuhusu hyo product.Asante,neona baadhi wakati napitia pitia nikaona wanasema uwe na website.
Asante sana mkuu kwa msaada mkubwa sana wa mawazo.Affiliate marketing unapachika kokote kule. Kma una website inayo review products unaweza weka, kma una twitter account unaweza pachika affiliate links kwenye tweets zako zilizoenda viral, kma una YouTube channel pia unaweza pachika links zako baada ya kuongelea kuhusu hyo product.
Kiufupi tu ni kwamba affiliate marketing inahitaji uwe na influence nzuri ili utengeneze hela.
Hata mimi nimekuelewa sanaa mkuu1. Unaweza kusoma bila kwenda chuo na ukaelewa ila inahitaji nguvu ya ziada. Kma unajifunza mwenyewe ni lazima kwanza uelewe basics vizuri kabla ya kukimbilia mambo mengine.
Kwanza ujue unataka kujifunza programming kwa lengo gani. Ukishajua hapo ndio utajua language gani uanzie na kuendelea baada ya hapo.
Pia Ufahamu kuwa kma hujawahi kabisa kujifunza mambo haya itakuchukua muda kidogo kuelewa vizuri. Usitegemee kwamba utajisomea miezi 6 na utaweza kutengeza full functioning app kwa muda huo na kuelewa vizuri concept za programming.
2. Kuhusu fursa hapo sasa inategemea.
Kwa employment hapa bongo ni almost impossible kma huna degree ya comp science fields. Bongo bado waajiri wanaangalia vyeti.
Nje ndio unaweza pata kazi bila cheti kma una portfolio nzuri uliyojijengea.
Hapo ni upate remote jobs au uwe upo kabisa kwenye nchi husika.
Kwenye kujiajiri hapo sasa ndio unaweza pata hela kwa uhakika. Unaweza kuwa freelancer kwenye websites mbali mbali au kufanya project zako mwenyewe na kutengeneza hela.
Cha muhimu ni kwamba kabla hujaanza unatakiwa uwe na dedication na kujua kutenga muda kujufunza (haswa kma upo kazini). Inaweza kuchukua hata mwaka kujua vizuri language uliyooanzia. Lakini ukishajua moja basi zingine inakuwa rahisi kidogo kuzielewa sababu basic concept ni sawa kote (ndio maana nasisitiza kuwa ujue basics vizuri).
Sehemu za kujifunzia nakushauri utumie course websites kama Udemy, Coursera, Jetbrains Academy au Udacity na vitabu (vitabu ni muhimu sana katika kuelewa language). Usitegemee YouTube 100% kujifunzia, maana mara nyingi huwa hawaelezei basic concepts kwa mfumo mzuri.
Kuna muda utajikuta kma huelewi kitu kabisa na hii ni kawaida, usikate tamaa. Pumzisha akili kidogo na uje uendelee baadae, utaelwa tu. Ukiona huelewi kitu search Google utafute maelezo zaidi, hii ndio njia nzuri ya kuelewa.
Pia kuna nyuzi nyingi tu humu Jf zinaongelea haya mambo. Zitafute uzipitie ziatakupa muongozo.
1. Unaweza kusoma bila kwenda chuo na ukaelewa ila inahitaji nguvu ya ziada. Kma unajifunza mwenyewe ni lazima kwanza uelewe basics vizuri kabla ya kukimbilia mambo mengine.