msaada wa mawazo juu ya hili

msaada wa mawazo juu ya hili

Anselem mathew

Senior Member
Joined
May 17, 2017
Posts
107
Reaction score
66
Habarini za jioni watu wa mungu. Nilikuwa naomba ushaur jui ya jambo hili ambalo linaniumiza kichwa mimi nimechaguliwa certificate ya nursing ila nadhan kulingana na competition ndo nikajikuta nimechaguliwa certificate ingawa nilikuwa navigezo kabxaa vya kusoma diploma ya nursing maana walisema kuwa kulingana na guidebook ya 2017/2018 lzm uwe na C ya chemistry na biology na D ya physics na English sasa nilikuwa nauliza hivi kuna uwezekano hicho chuo nilichochaguliwa kusoma hadi diploma hapo hapo maana nina sifa hizo na hicho chuo pia kinatoa cert na diploma hapo hapo kama kuna uwezekano nipeni mbinu mbadara walio na uzoefu iliniweze kusoma hadi diploma
 
Back
Top Bottom