Mdogo wangu kweli umeniuzi kwa kushindwa kirahisi hivyo, kwanza unasoma kozi gani? achana na hayo narudi kwenye mada,sex sio kwa ajili ya kupoza mtu. kuwa boyfriend si lazima ufanye naye ngono, ungemkubaria uwe BF wake kwa sharti la kutofanya ngono naye, na siku ya mwisho ungeleta heshima kwa watanzania wote, ukweli ni kwamba wewe pia ulimtaka kimapenzi, na kama ni hivyo ungemwambia pia, mimi ni mkristo nimekaa na mchumba wangu kwa miaka 5 kabla sijamuoa bila kufanya naye sex, sex ni udhaifu mkubwa sana wa wanaume, nimeumia sana kumchezea msichana wa watu then huna hata mpango wa kumuoa, the biblical principle of sowing and reaping is still working up to now, naomba umueleze ukweli ili uepukane na laana ya kupata mke atakaye kuja kukutesa na kukuumiza maishani,au kisaikolojia. chochote upandacho ndicho utakachovuna,mithali 6:2 Basi umetegwa/umefungwa na maneno ya kinywa chako na umekamatwa na maneno ya kinywa chako, hivyo nakuomba nenda ukajifungue kwa kumwambia ukweli