Patreek
New Member
- Mar 26, 2019
- 1
- 0
Habari za asubuhi wana jamii,nilikua naomba ushauri wa hizi card za visa na mastercard maana nimefungua ya visa lakini kwenye ku transfer ela inagoma kwa nini.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app