Mambo ya afya muone daktari humu wakina sisi ambao kazi zetu hazitubani sana na wengi ni jobless plus wanafunzimke wangu anasunbuliwa na maumivu ya tumbo ambapo huwa linawaka moto,huchomachoma,kuuma chini ya kitovu,kwenye kiuno na mgongo na wakati mwingine huwa kama ametoneshwa.
huko mlipo hakuna hosptal mkuu?mke wangu anasunbuliwa na maumivu ya tumbo ambapo huwa linawaka moto,huchomachoma,kuuma chini ya kitovu,kwenye kiuno na mgongo na wakati mwingine huwa kama ametoneshwa.