JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,968
Wanabodi kwanza poleni kwa majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa, nimejitokeza mbele yenu kuomba msaada wa kupata material ya shule za sekondari(O'leval na Advanced), ya aina yoyote uliyonayo, pia kwa mwenye link ya kupata vitabu vya bure pia anisaidie.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wote mtakaonipatia ushirikiano.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wote mtakaonipatia ushirikiano.