Msaada wa matatizo haya ya kiafya ya mwanangu

Msaada wa matatizo haya ya kiafya ya mwanangu

Nailaswrty

Member
Joined
Jul 13, 2020
Posts
20
Reaction score
30
Mwanangu ana miezi miwili. Lakini kuna muda anatetemeka miguu kama baridi na kunakuwa hamna baridi pia kuna wakati anageuza macho yake kiini hakionekani na kama anarembua hadi anaogopesha!

Je shida ni nini?

Na kama kuna shida tiba yake ni nini?

Au ni kawaida kwa watoto?
 
Pole dear ungewahi hospital kwanza kwa uchunguzi, si dhani kama kama ni hali ya kawaida
 
Back
Top Bottom