F Fimbo New Member Joined May 10, 2011 Posts 2 Reaction score 0 Sep 21, 2013 #1 Habari wadau wa kilimo natafuta mashamba ya kukodi maeneo ya maji kwa ajili ya kulima mboga mboga.. kama ruvu hivi na maeneo mengine yenye maji. Nawasilisha
Habari wadau wa kilimo natafuta mashamba ya kukodi maeneo ya maji kwa ajili ya kulima mboga mboga.. kama ruvu hivi na maeneo mengine yenye maji. Nawasilisha
W Win Member Joined Feb 3, 2012 Posts 33 Reaction score 13 Oct 3, 2013 #2 Mkuu, Ulipata sehem? Niko interested na Ruvu pia, naomba unijuze au unielekeze. Asante.