Msaada wa maombi

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,161
Hello MMUs,

Nawasalimu wote.

Sijawahi kujitokeza kuomba msaada wa maombi mbele yenu ila leo maji yananizidi kimo. Ninapitia wakati mgumu ambao haujawahi kutokea katika maisha yangu. Ninaamini wapo watu wa Mungu na wenye imani humu ndani. Sema neno lolote kwa Mungu nafsi yangu itapona na shetani aliyejiinua atashindwa hatimaye Mungu muumba kuinuliwa.

Ninahitaji maombi zaidi ili niweze kuinuka.

Asanteni.

NB: Nimeweka MMU kwani ndio nyumbani kwangu....jukwaa la dini sina wenyeji.
 

sema unataka uombewe kitu gani..??? Tusije tukakuombea upate matiti makubwa, kumbe wewe unataka makalio makubwa.... Be specific
 
sema unataka uombewe kitu gani..??? Tusije tukakuombea upate matiti makubwa, kumbe wewe unataka makalio makubwa.... Be specific

Mungu aonaye sirini anajua lililohitaji la moyo wangu, wewe taja tu jina langu kwa imani nitapona.
 
"hali kadhalika naye Roho anatusaidia ktk udhaifu wetu. Maana hatujui inavyotupasa kuomba; lakini Roho mwenyewe anatuombea kwa Mungu kwa mlio wa huzuni usioelezeka. Naye Mungu aonaye mpaka ndani ya mioyo ya watu anajua fikira ya huyo Roho; kwani huyo Roho huwaombea watu wa Mungu kufuatana na mapenzi ya Mungu" Warumi 8:26-27 Mungu akujalie haja ya moyo wako sawa na mapenzi yake mpendwa.
 

mkuu hudhulia operation takasika kwa mchungaji gamanywa.
 
Ni maisha tu mengine,. Me mapenzi nilishastaff sasa nimetulia najiandaa kugraduate kwenda next level

Acha utani wako wewe!
Kuna vitu havistaafiki bila ya kuwa expired date!
Tafuta mtu umpe mbunye akuliwaze!
Huo msongo wa mawazo utasepa wenyewe! Na mafanikio yanakuja kiulainiiii. Uchaguzi wako tu!
...
Kidole kimoja hakivunji chawa!
Niko serious! Just try it!
 
Yaa Rabi; Salama kwa binti Mrembo by Nature.AMIN Yaa rabi ridhia muradi wake.AMIN. pamoja mkuu
 
kama ilivyokuwa kwa kipofu bathomayo..imani yako inakwenda kukuponya sasa hivi.
 
Ur present situation is not ur final destination, the best is yet to come.
Dont give up trust in him.
 
hiyo nyanja mimi siyo mwenyeji sana.............. ila nikutakie kila lililogumu liwe jepesi kwako.
 
Hakuna jaribu lisilokuwa na mlango wa kutokea

Mungu ni mwema siku zote na atakuepusha na mabaya yote

Zab ya 23 ikufariji.
 
Mungu akusaidie Mrembo by Nature ktk yanayokusumbua soma zabri ya 91 yote kama sala.
 
Last edited by a moderator:
Mungu akupe hitaji lako na kila gumu lako alifanye jepesi Amen.
 
Maombi yawe proportion na mahitaji...weka tatizo linalokusibu kina Eiyer wamiminike,kutoweka bayana kinachokusibu unaweza kuombewa yasiyokuwa msaada kwako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…