Most fonts ni kwa personal use pekee. Kwa hiyo mtu au organization ikitaka kutumia fonts kwa ajili ya promotion ya biashara au logo, lazima kuwe na ruhusa kutoka kwa author (Maana ya yeye ana Hakimiliki). Hapo ndipo Author mwenyewe ataamua awatoze fedha (aanze kuuza), maana font yenyewe ikianza kufahamika, ndipo na yeye atapata faida kubwa.
Kwa mfano; hiyo Avengeance ilitumika kwenye poster ya movie ya
"The Avengers".