Msaada wa majibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa majibu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Bosco massawe, Jul 11, 2012.

 1. B

  Bosco massawe Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama elimu yako sio ya mchina, badili sentensi hii kwa kingereza.
  BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI?
  Nipe jibu nicheke kabla cjalala!
   
 2. king kan

  king kan JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,264
  Likes Received: 715
  Trophy Points: 280
  Mi nakujib baada ya wewe kuamka Daddy in which position am i in our family linage?
   
Loading...