mmakondehuru
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 385
- 149
Nimekutana na msichana mdogo sana ni mwanafunzi mhitimu wa form 4,nikamuaproach kanikubalia tumefikia kuwa wapenzi kwa siku mbili tofauti,cha ajabu hajawahi kunipgia simu hata siku moja na tuna miezi 2 tangu tujuane. Je, kukaa kimya kwake kunaashiria nini?
Naomba kujuzwa plz.
Naomba kujuzwa plz.