Msaada wa magodoro original jijin dar??

Msaada wa magodoro original jijin dar??

LA TOVI

Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
18
Reaction score
4
Wakuu naomba msaada wenu juu ya magodoro ni wapi ntapata godoro zuri original hapa dar.
Ama ni godoro aina gani ndiyo zuri lenye ubora .
Nilipokuwa mkoani nilikuwa natumia godoro la dodoma na lilikuwa bomba sana mpaka sasa nikirudi nalikuta lipo poowa sana.
Ila kwa hapa dar nishanunua mara mbili na yote ni feki nimeyatumia kwa mda mchache na yashachoka kwa sasa nikilalia napata sana maumivu ya mgongo.

Naomba msaada wenu wakuu ni vipi ntatambua kua godoro hili ni originol au ni wapi naweza kuyapata msaada wenu kabla sijaingia mkenge wa tatu.
 
nenda changombe viwandani, kuna kiwanda nadhani cha vitafom kama sikosei,
 
Back
Top Bottom