Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,479
- 11,671
Kipindi hiki yanapatikana kwa wingi wilayani Kyela.
Nipo dar nijibu msg hy hapo juu.upo wapi nikutumie
Bei gani dumu la lita 20 kwa mise na mawese?ningependa kujuaIfakara yapo yakumwaga njoouchue mzigo
Nami nayahitaji nichek kwa 0627122046Ifakara yapo yakumwaga njoouchue mzigo
Bado unauza maweseWatu sijui tuna matatizo gani!
Unamwambia mwenzio kuwa yapo ya kumwanga, anakuuliza Bei unaingia chaka!
Na huyo aliesema kuwa yapo pwani,...
HapanaBado unauza mawese
Unahutaji dumu ngapi? Dumu 90,000 Niko Dar es salaamBado unauza mawese