Samtin Peter
Member
- Jan 21, 2015
- 22
- 7
Naomba kuuliza ndugu.. Hivi ukiwa unatumia WhatsApp number ya mtandao wa simu wa Tanzania labda tigo au voda alafu ukasafiri kwenda nchini Afrika kusini.. Je utakuwa na uwezo wa kutumia namba ileile katika WhatsApp ukiwa nchini Afrika kusini?