Msaada wa Madini

Ndokeji

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
698
475
Watalaamu wa Madini haya ni aina gani ya Madini
 
Attachments

  • IMG_20200510_214703.jpg
    IMG_20200510_214703.jpg
    231.1 KB · Views: 1
Haya madini hupatikana sehemu nyingi Tanzania. Yana umuhimu wakipekee kwenye ujenzi wa magorofa na sasa hivi yamepanda sana bei. Mende moja kutoka Lugoba si chini ya laki tano. Pia yanatumika kujengea barabara hasa sehemu za kishua au bandarini.
Njoo PM nikuoneshe group la watu wa madini. Unauliza chochote kuhusu madini na hata bei
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom