Msaada wa M-Pesa

Inategemea eneo ulilopo kama mzunguko wa kutoa na kuweka fedha ni mkubwa we cyo mwenzetu maana mnalipwa kwa kamishen kulingana na transactions ulizofanya especial kutoa wanaotoa ndo wanakupa faida kuliko wanaoweka hope you get it. Pia capital wll determine ur profit
 
transaction kwa m2 mmoja wanakupa sh ngap na lin za wakala wanauza sh ngapi??????
 
Unatakiwa kuwa na vtu vtatu kupata till yaan line ya mpesa;unana tin mamba,lesen ya biashara pia kitambulisho then toa copy afu wasilisha vodashop au kwa wakala mkuu yeyote utaisubir kama mwez mmoja au wiki tatu utapewa till yako na utafundishwa how to use it that is free of charge,ckushaur ununue za watu ztakucost swal?
 
Kuna makosa kdogo typing error it unatakiwa kuwa na tin namba not mamba tin means taxpayers identification number issued by tra
 
Hiyo tin namba ina gharama kiasi gani?.
Leseni ya mpesa ama leseni ya mfano duka?
 
TIN huwa ni free kutoka TRA pia waweza jaza fomu online kupitia www.tra.go.tz. epuka mawakala uchwara!
 
asanteni wadau kwa ufafanuzi huo lakini mbona tunasikia kuwa line za mpesa zinauzwa hadi mil 1.5..?
 
asanteni wadau kwa ufafanuzi huo lakini mbona tunasikia kuwa line za mpesa zinauzwa hadi mil 1.5..?
 
Its not true hao wanao uza hzo till au line za mpesa ni matapeli we fuata procedure zote utaipata free of charge uwe na TIN NUMBER, BUSINESS LICENSE na Kitambulisho toa copy peleka voda shop yeyote ilo karibu nawe. Simply no charges. That's all ndugu
 
Back
Top Bottom