Unatakiwa kuwa na vtu vtatu kupata till yaan line ya mpesa;unana tin mamba,lesen ya biashara pia kitambulisho then toa copy afu wasilisha vodashop au kwa wakala mkuu yeyote utaisubir kama mwez mmoja au wiki tatu utapewa till yako na utafundishwa how to use it that is free of charge,ckushaur ununue za watu ztakucost swal?