Msaada wa lugha sahihi

Msaada wa lugha sahihi

Maiti hiyo ni neno sahihi zaidi, huyo itatumika kama utakuwa unataja marehemu, yaani marehemu huyo
 
Na mm msaada hapo hapo.... Mtoto wangu ni jinsia ya kike au mtoto wangu ni jinsi ya kike...
 
Mtoto wangu ni.jinsia ya kike ndio neno la kiswahili kwasababu jinsi ni.muonekano kimaana lakin jinsia ni aina
 
Back
Top Bottom