Msaada Wa logo ya ramani.

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
381
Reaction score
131
Wataalamu habarini.

Mimi ni mwalimu naomba msaada Wa kupata ramani ya Africa mashariki ili nikatumie katika kuandaa mtihani. Yaani kale karamani nikikapata naweza kukapanua na kujaza vikorombwezo ninavyohitaji. Mwenye nako Tafadhali wernerykapinga97@mail.com

Tafadhali sana Mimi ni Mtanzania mwenzenu.
 
Ramani si zipo google au unataka mtu akucholee kulingana na mahitaji yako.
Anza na hiyo
 
Dah... Hii ramani nashindwa kabisa kuitumia... Yaani ni kama picha tu wala haieditik.. Nikitaka kuongeza maneno yaani hola...
 
Mkuu hauja pokea maelekezo kutoka juu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…