E Eddy mtatina Senior Member Joined Jan 8, 2014 Posts 174 Reaction score 142 Mar 14, 2017 #1 Naomba maelekezo ya kitaalamu kuokoa pc iliyoingiliwa na maji.
qaxemvule JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 231 Reaction score 120 Mar 14, 2017 #2 Nunua mchele ukisha usibane ifunue ingiza katikati ya mchele iache muda wa masaa 72 itowe itakua maji yote yamenyonywa na imekaushwa safi
Nunua mchele ukisha usibane ifunue ingiza katikati ya mchele iache muda wa masaa 72 itowe itakua maji yote yamenyonywa na imekaushwa safi
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,316 Mar 15, 2017 #3 qaxemvule said: Nunua mchele ukisha usibane ifunue ingiza katikati ya mchele iache muda wa masaa 72 itowe itakua maji yote yamenyonywa na imekaushwa safi Click to expand... Siamini kuwa una maanisha
qaxemvule said: Nunua mchele ukisha usibane ifunue ingiza katikati ya mchele iache muda wa masaa 72 itowe itakua maji yote yamenyonywa na imekaushwa safi Click to expand... Siamini kuwa una maanisha
Dahafrazeril JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 1,500 Reaction score 2,061 Mar 15, 2017 #4 Eddy mtatina said: Naomba maelekezo ya kitaalamu kuokoa pc iliyoingiliwa na maji. Click to expand... Pole sana Mkuu!! Wasubiri wataalamu.
Eddy mtatina said: Naomba maelekezo ya kitaalamu kuokoa pc iliyoingiliwa na maji. Click to expand... Pole sana Mkuu!! Wasubiri wataalamu.
jT0078 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2016 Posts 430 Reaction score 331 Mar 15, 2017 #5 Toa battery then ifungue then ilaze keyboard iangalie chini