Habari za J pili wana JF. Natumia Nokia C5-00. Kuna mtu alikuwa anachezea simu yangu, sijui amegusa wapi akawasha torch ambayo hutumika pia kama flash ya camera. Nimejaribu kuiswitch off nimeshindwa, inawaka bado; hata nikitoa battery, nikiweka tena inawaka. Tafadhali kwa anayetumia simu kama yangu anisaidie. Asante sana.