Baba Moreen
Member
- Nov 2, 2019
- 82
- 110
Nimebadili namba imekubali vizuri sana...shida namba yenye shida ndio namba official inayotambulika kwenye kutafutia riziki mkuu.Jaribu kubadili namba uone kama itakubali
Hapo kua mpole tu itachukua muda kuja kukaa sawa,,,,hio shida nimeiona kwenye namba nyingi zilizokua hazitumii watsap original ila baadae zinakaa sawaNimebadili namba imekubali vizuri sana...shida namba yenye shida ndio namba official inayotambulika kwenye kutafutia riziki mkuu.
Jaribu kufuta iliyopo udownload upya
Au jaribu kuchange number baada ya kuingia na hio namba mpya nenda settings, account halafu change number uweke hio inayosumbua ,uone kama itakubaliNimebadili namba imekubali vizuri sana...shida namba yenye shida ndio namba official inayotambulika kwenye kutafutia riziki mkuu.
Mkuu nimefurah na kudownload muda huu kupitia playstore bado imegoma... pia kuna waliosema nidownload kupitia apo kama Aptoide nako vilevileJaribu kufuta iliyopo udownload upya
Je, email address uliyotumia hapo mwanzo kwenye WhatsApp uliyoondoa imebaki kuwa ile ile au umebadilisha?Nimebadili namba imekubali vizuri sana...shida namba yenye shida ndio namba official inayotambulika kwenye kutafutia riziki mkuu.
Ngoja nijaribu hii shukraniAu jaribu kuchange number baada ya kuingia na hio namba mpya nenda settings, account halafu change number uweke hio inayosumbua ,uone kama itakubali
Email imebaki ileile mkuu...Je, email address uliyotumia hapo mwanzo kwenye WhatsApp uliyoondoa imebaki kuwa ile ile au umebadilisha?
Mkuu nimejaribu imegoma....inanirudisha sehemu ya kujaza verification code (OTP) , na huko ndio inasema nidownload official watsapp while ninayo tayariAu jaribu kuchange number baada ya kuingia na hio namba mpya nenda settings, account halafu change number uweke hio inayosumbua ,uone kama itakubali
Hapo mwanzo uli-verify kwa kutumia njia gani? Email address, SMS kupitia namba yako ya simu, au account ya social media kama vile Facebook, Twitter, etc?Email imebaki ileile mkuu...
Ilishawahi kunitokea hio,,,sema baadae yenyewe ikaja kukubali,,sijui shida inakuaga ni niniMkuu nimejaribu imegoma....inanirudisha sehemu ya kujaza verification code (OTP) , na huko ndio inasema nidownload official watsapp while ninayo tayari
Nilitumia sms mkuu na nimeomba niverify kupitia njia ya email wamegoma wamesema watsapp huverify kupitia namba ya simu tuHapo mwanzo uli-verify kwa kutumia njia gani? Email address, SMS kupitia namba yako ya simu, au account ya social media kama vile Facebook, Twitter, etc?
Ngoja nijaribu kusubiri mkuu...yes huwa inachukua muda semaIlishawahi kunitokea hio,,,sema baadae yenyewe ikaja kukubali,,sijui shida inakuaga ni nini
Kama hapa mwanzo alitumia app fake ya WhatsApp, basi huenda namba yake inaweza ikawa imekuwa shortlisted ktk Whitelist au Blacklist na kampuni ya WhatsApp. Endapo kama namba yake imekuwa Whitelisted, Basi baadaye siku kadhaa zijazo anaweza akajisajiri upya, lakini kama namba yake iko Blacklisted, basi hataweza tena kujisajiri kwa namba hiyo. Itakuwa banned permanently.Hapo kua mpole tu itachukua muda kuja kukaa sawa,,,,hio shida nimeiona kwenye namba nyingi zilizokua hazitumii watsap original ila baadae zinakaa sawa
Hio haijawa banned ,sema itachukua muda hadi ikae sawaKama hapa mwanzo alitumia app fake ya WhatsApp, basi huenda namba yake inaweza ikawa imekuwa shortlisted ktk Whitelist au Blacklist na kampuni ya WhatsApp. Endapo kama namba yake imekuwa Whitelisted, Basi baadaye siku kadhaa zijazo anaweza akajisajiri upya, lakini kama namba yake iko Blacklisted, basi hataweza tena kujisajiri kwa namba hiyo. Itakuwa banned permanently.
aiseh mbona hatari hii...ngoja nisubiri nione mkuu response yaoKama hapa mwanzo alitumia app fake ya WhatsApp, basi huenda namba yake inaweza ikawa imekuwa shortlisted ktk Whitelist au Blacklist na kampuni ya WhatsApp. Endapo kama namba yake imekuwa Whitelisted, Basi baadaye siku kadhaa zijazo anaweza akajisajiri upya, lakini kama namba yake iko Blacklisted, basi hataweza tena kujisajiri kwa namba hiyo. Itakuwa banned permanently.
Shukrani mkuu.Hio haijawa banned ,sema itachukua muda hadi ikae sawa