Msaada wa kuuza vito vya dhahabu

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
8,906
Reaction score
9,690
Habari jf... Nina cheni 3, earings na bangili za dhahabu nimepata kwenye mgao wa uridhi wa marehemu ndugu yangu sasa nataka kiviuza kwani sina matumizi navyo je kuna mtu yoyote anajua wapi naweza kuuza? Na gram moja inauzwaje?
 
Nenda kwa Masonara walio karibu nawe
 
KOTE="HARUFU, post: 15477478, member: 202274"]Nenda kwa Masonara walio karibu nawe[/QUOTE]

Masonara huwa wananunua?
 
Nakushauri usiuze.Bei utakayopewa ni ndogo sana.Wape urithi wanao kama ulivyopewa wewe
 
Kwani bei ya dhahabu ghafi imefika kiasi gani kwa gramm kwa sasa?
 
Yaani km ulinunua laki ukirudi kwa sonara ananunua 5000gram
 
Habari jf... Nina cheni 3, earings na bangili za dhahabu nimepata kwenye mgao wa uridhi wa marehemu ndugu yangu sasa nataka kiviuza kwani sina matumizi navyo je kuna mtu yoyote anajua wapi naweza kuuza? Na gram moja inauzwaje?
Nadhani wananunua kwa 55000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…