Msaada wa kuuza bitcoins

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,078
1,870
Nimepewa bitcoin address,naitaji kudhibitisha malipo,ila sielewi namna gani ya kuituma,mwenye uelewa na bitcoins anisaidie,ntakulipa nikifanisha transfer
Ni Pm nikutumie hiyo address
 
Nimepewa bitcoin address,naitaji kudhibitisha malipo,ila sielewi namna gani ya kuituma,mwenye uelewa na bitcoins anisaidie,ntakulipa nikifanisha transfer
Ni Pm nikutumie hiyo address
Sasa akupm umtumie address ya kazi gani wakati wewe ndio unapaswa ufanye transfer toka kwako kwenda kwenye hiyo address?
 
Mkuu, una Bitcoin unataka kuuza nenda kwenye Cryp' Currencies platform ukauze Bitcoin yako....simple!
Unataka Ku transfer uipeleke wapi?
 
Yaan $10 ndo unasumbua watu
Wewe unaizalau,ila mimi imeniingizia laki 8,
unajua value ya bitcoin?
Nilikuwa nimechelewa,saivi huniambii kitu,unapata free bitcoin kwa mchezo mdogo tu
 
Back
Top Bottom