Nzunga Senior Member Joined Oct 24, 2011 Posts 170 Reaction score 58 Feb 21, 2018 #1 jamani wakuu kama kichwa kinavyojieleza.. Nahitaji msaada wa kuunlock simu yangu ya Huawei Lua 311 U22 ili iweze kutumia line zote... Nimejaribu kuunlock kwa kutumia miracle box, Alladin, Eagle Eyes na NCK Dongle lakini bado haimalizi kusoma...
jamani wakuu kama kichwa kinavyojieleza.. Nahitaji msaada wa kuunlock simu yangu ya Huawei Lua 311 U22 ili iweze kutumia line zote... Nimejaribu kuunlock kwa kutumia miracle box, Alladin, Eagle Eyes na NCK Dongle lakini bado haimalizi kusoma...