ukabu JF-Expert Member Joined Dec 9, 2011 Posts 212 Reaction score 68 Dec 4, 2020 #1 Msaada tutani nashindwa kupost matangazo katika Instagram account yangu naletewa ujumbe huo hapo chini. Anayeweza kunisaidia kuirudisha katika hali yake ya kawaida tufanye biashara Call 0759212578
Msaada tutani nashindwa kupost matangazo katika Instagram account yangu naletewa ujumbe huo hapo chini. Anayeweza kunisaidia kuirudisha katika hali yake ya kawaida tufanye biashara Call 0759212578
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,263 Reaction score 44,390 Dec 5, 2020 #2 ukabu said: Msaada tutani nashindwa kupost matangazo katika Instagram account yangu naletewa ujumbe huo hapo chini. Anayeweza kunisaidia kuirudisha katika hali yake ya kawaida tufanye biashara Call 0759212578View attachment 1641797 Click to expand... Lipa deni, hilo tatizo huanza unapotangaza kiasi kikubwa kuliko kiasi ulichonacho kwenye account. Weka hela kwenye kadi watakata hela yao kisha utatangaza
ukabu said: Msaada tutani nashindwa kupost matangazo katika Instagram account yangu naletewa ujumbe huo hapo chini. Anayeweza kunisaidia kuirudisha katika hali yake ya kawaida tufanye biashara Call 0759212578View attachment 1641797 Click to expand... Lipa deni, hilo tatizo huanza unapotangaza kiasi kikubwa kuliko kiasi ulichonacho kwenye account. Weka hela kwenye kadi watakata hela yao kisha utatangaza
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,326 Reaction score 196,015 Dec 5, 2020 #3 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: mahondaw