Next time elezea vizuri nakupa option ingawa sijui kama itafaa kwako.Kama operating system uliinstall kutoka kwenye flash(namaanisha ulitengeneza bootable flash disk) sometimes inaleta hiyo message.If this is the case unatakiwa ubadilishe boot sequency ianze na hard disk na siyo flash or usb.Ukiwasha wakati hakuna flash inakubali ila ukiweka flash or modem inakataa kwani boot order inaanza na kutafuta OS kwenye usb inaikosa that is why inakupa hiyo message.Badilisha boot sequency ianze hard disk kam nilivyokueleza mwanzo.wadau naomba msaada sumtime nikiwasha laptop yangu hasa hasa ninapokuwa nimeweka modem au flash kipindi nawasha.......the niki remove flash au modem kama ipo inawaka as usual.