Msaada wa kutumiwa (typing pal) software

Makomangilo

Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
20
Reaction score
3
Naomba kutumiwa au namna ya kuipata TYPING PAL SOFTWARE kati ya version 3 hadi 6. Ninashida nayo sana kwa ajili ya kujifunzia kuchapa katika computer.
 
Naomba kutumiwa au namna ya kuipata TYPING PAL SOFTWARE kati ya version 3 hadi 6. Ninashida nayo sana kwa ajili ya kujifunzia kuchapa katika computer.
Piga Hodi kwanza ndugu........namnagani unatangaza shida kabla ya kusalimia?
Kwanini usi''google'' hiyo kitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…