Msaada wa kutrack simu kwa imei namba

Mbona hiyo Bei ya kawaida tu Kuna company flana ya IT iliunzia vyuo flan systems( web based) na Android app 40m
Sasa mkuu Web based system na tracking system kwa kutumi IMEI unaona ni vitu sawa kweli? Kwanza unajua web based system ni kitu gani? Usiongele vitu usivyovijua mkuu mana utakuwa huna tofauti na Mataga.
 
yah jamaa alikuwa na app ambayo akiingiza tu imei inakuja namba ya simu ilowekwa plus all calls ulizokuwa umepiga
Maana yake hiyo app lazima iwe na connection na database ya TCRA. Kila unapowasha simu number yako inakuwa registered pamoja na IMEI ya device husika
 
Uwezo wa kui track simu yako na kuipata ni mkubwa sana kama uko serious. Ukiibiwa/kupoteza simu ya kuanzia laki saba nitafute, kikubwa kumbuka siku(tarehe) iliyopotea/kuibiwa, namba ya simu iliyokuwa inatumia, IMEI yake japo siyo lazima sana mwisho uwe umeshatoa report police na wamekupa RB
 
Sasa mkuu Web based system na tracking system kwa kutumi IMEI unaona ni vitu sawa kweli? Kwanza unajua web based system ni kitu gani? Usiongele vitu usivyovijua mkuu mana utakuwa huna tofauti na Mataga.
Wwe unajua hiyo comment nilikuwa naelezea Nini?? Au una quote tu bila kuelewa tulikuwa tunaelezeana Nini??? Embu ludi usome vizuri mtililiko wa comment
 
vyote ninavyo mkuu
 
yako ilikuwaje ndug
 
Kuna system flani police tz wameuziwa Kam 16m ndo huwa wanatumia ku track imei za simu

Hata Kama network imezimwa simu inaweza patkana
Simu ikikosa chip hakuna namna unaweza itrack, Tracking system iko dependent na network either local connection via cell towers au internet connection via Wifi etc
 
Ndugu yangu kwanza shukuru polisi aliekuja kukuibia ni mwizi mwenye huruma. Polisi wezi wazoefu wanakutisha na kesi ya mauaji. Kwamba aliebiwa simu ameuliwa na watatoa orodha ya vitu vingine kibao vilivyopote.
 
yah jamaa alikuwa na app ambayo akiingiza tu imei inakuja namba ya simu ilowekwa plus all calls ulizokuwa umepiga
ni app ila hauto ikuta kwa askari wote, ni wachache tu maalumu wa cyber ndio unakuta wanayo
 
wana mchezo wengine wa kuziuza nchi jirani
 
Huyo aliyekuuzia sinu mliwasiliana vipi(kwa njia gani) maana njia hiyo hiyo anaweza kiwa tracked.Nenda police,uwe na risit ya EFD ya hiyo sumsang yako s7edge.

Vingenevyo hiyo hela uliyoandaa kuipata hiyo simu inatosha kununua simu nyingine latest.uchaguzi ni wako mkuu.Ingekuwa ni Rwanda ningekushauli uende police maana ungeipata simu yako.hiyo story inaonyesha kama kuna mpango flan pia ulipangwa kabla,na hivyo hata hiyo simi yako imeshaflashiwa IMEI namba tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…