Msaada wa kutrack simu kwa imei namba

Mkuu hapo lao nimoja yule aliekuuzia simu niwale wale anashirikiana na polishi na hapo iyo simu ishawekwa dukan tena kutafutwa boya mwngne, nakushauri achana nayo omba Mungu tu awalipe kvngne hakika watapata pigo zaidi..
yah jamaa alikuwa na app ambayo akiingiza tu imei inakuja namba ya simu ilowekwa plus all calls ulizokuwa umepiga
 
Kuna Mzungu mmoja Arusha anayo, sijui aliitoa wapi, Ila anaitumia kwa mambo yake tu, huwa anatrack wafanyakazi wake wakimdanganya, make Mfanya kazi anaweza tumwa Serengeti akaenda zake kwanza kukaa Karatu.

Anaweza track na kujua kwa sasa uko wapi, au hata ukibadili laini atajua tu,
 
Mkuu hapo lao nimoja yule aliekuuzia simu niwale wale anashirikiana na polishi na hapo iyo simu ishawekwa dukan tena kutafutwa boya mwngne, nakushauri achana nayo omba Mungu tu awalipe kvngne hakika watapata pigo zaidi..
Nilitaka kusema hivi hivi.
Mi niliibiwa simu club. Nikaambiwa kuna askari anaweza nisaidia - 'mpelelezi'. Yule askari kumkuta akanipa bei kabisa - hela yake na yakumpa mtu wa cybecrime.

Nikawa nafuatilia kwa karibu kwa yule mpelelezi. Kila sk akawa ananipiga tarehe. Sk moja akaniambia tukutane. Tulipokutana akaniambia wezi wako walikamatwa wakauliwa! Nikabaki Dah! Alikuwa na mwenzake akasema kweli kuna wezi wa club wanaotumia boda wameuliwa!

Kuuliza watu wakaniambia sm yako itakuwa kaichukua huyo mpelelezi - ndo zake. Ikabidi niachane kabisa na hiyo sm - hata kufuatilia ku track niliona kujiumiza tu!

Kwa hiyo usimpe hela polisi akutafutie sm, labda awe ndugu yako.
 
Mi nilipambana sana na apps hazikunisaidia. Nyingi nilizojaribu naona zinafanya kazi India.
 
Mkuu pole sana

Ukweli mchungu ni kwamba huyo jamaa na askari lao ni moja
Umechezewa chezo

Kubali yaishe mkuu
 
Sasa si uanzishe nae urafikiri kiaina uweze kupata mawili, matatu...

Mchunguze ujue anapendelea nini then ndo iwe njia ya kutengeneza ukaribu nae directly au indirectly! Mradi tu uwe salama usije kudhurika...
 
mie yangu kila siku naingia kwenye samsung account jamaa bado ameizima
 
Huyo alokuuzia na aliyeripoti lao moja, baada ya kesi wanagawana. Huu ni aina mwingine ya wizi,
 
Pole sana...

Usikute huyo aliyekuuzia ndiyo kaku seti...
 
Pole sana Mungu anisamehe nahisi polis wana share kwenye huu mchezo

Jana jiran yangu kalazwa ndani kesi kama yako
Ameambiwa atoe 2.6M kesi iishe
 
Pole sana Mungu anisamehe nahisi polis wana share kwenye huu mchezo

Jana jiran yangu kalazwa ndani kesi kama yako
Ameambiwa atoe 2.6M kesi iishe
wanakuambia alieibiwa aliuwawa
 
Mkuu hapo lao nimoja yule aliekuuzia simu niwale wale anashirikiana na polishi na hapo iyo simu ishawekwa dukan tena kutafutwa boya mwngne, nakushauri achana nayo omba Mungu tu awalipe kvngne hakika watapata pigo zaidi..
Huyo mzee na hao Polisi lao moja tu kama kweli walikuwa wanaku track kwa nini wasikikamatie kwenye mihamgaiko yako badala yake wamenyosha Nyumbani.
Mkuu pole sana

Ukweli mchungu ni kwamba huyo jamaa na askari lao ni moja
Umechezewa chezo

Kubali yaishe mkuu
Huyo alokuuzia na aliyeripoti lao moja, baada ya kesi wanagawana. Huu ni aina mwingine ya wizi,
Pole sana...

Usikute huyo aliyekuuzia ndiyo kaku seti...
Pole sana Mungu anisamehe nahisi polis wana share kwenye huu mchezo

Jana jiran yangu kalazwa ndani kesi kama yako
Ameambiwa atoe 2.6M kesi iishe
hyo ni mbinu mpya imeanzishwa nowdays kati ya police na baadhi ya raia tena shukuru mungu hawajakuorodheshea laptop na kioo cha gar kimevunjwaa
Kweli kabisa..... hii imenitokea hata mimi

Polisi na wauzaji wote lao moja..... baada ya kufwatilia ndio nikaja gundua michezo yao.

Kuna mtego naandaa wa kukusanya evidences zote halafu niingie TAKUKURU.... siwez nikaumia peke yangu (hasara ya 750k + simu + lockup siku 3 [emoji22])
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…