Msaada wa kutoa lock iPhone SE

Msaada wa kutoa lock iPhone SE

chipalila1

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
259
Reaction score
32
Wataalamu nina iPhone SE, naomba kama kuna mtu anafanya kazi ya unlocking anicheki pm.
 
Natofautishaje Mkuu kama ni Passcode au icloud?
icloud itakuwa inakudai password ya ID/email uliyo sign up kwenye icloud au vyote viwili email na password. Passocode ni zile namba unazotumia kufungua sim ikiwa imejilock au ukiiwasha
 
Haina shida ya hiyo passcode na icloud shida yake ni upande wa network
 
Naangaliaje kama imelockiwa kwa network gani?
La kufanya ni kulipia unlocking service kwa iphone inakuwa gharama hasa kama simu itakuwa bado kwenye contract na hasa kama imelockiwa kwa Verizon network. Cheapest way ni kutumia Gevey utapata kariakoo kwa 25000
 
Ahsante sana Mkuu.Kama una namba ya fundi Mzuri naomba contact ili nimtafute
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom