Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 604
- 218
Uko wapi ww? Ilete na elfu 15 mkononiBigwa imekataa
Imegoma kiongoziWeka 12345
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tuifanyeje boss wangu au tupige file??Hiyo simu buana
15 cna labla kama unaweza nikupa 5 tena baada ya kaziUko wapi ww? Ilete na elfu 15 mkononi
Kaa nayo tu mkuu15 cna labla kama unaweza nikupa 5 tena baada ya kazi
[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna mtu amesha reply huko chini uwizi siyo mzuriWale wa negative bado hatujatoa tamko hadi sasa.
[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]comment kama hz zimechelewa kwel kweli ni kweli uwizi siyo mzuri mbona sigara siyo nzuri na bado watu wanazivuta tu haujui hata mke wa mtu cyo mzur lakini bado watu wanakula kwa hyo asante kwa ushauri wa uwizi ila bado nitaendelea tukuset simu iwe na lock ni process karefu, mantiki ya kusema imejiweka lock yenyewe haingii akilini
ushauri: wizi sio mzuri