Msaada Wa Kutoa Apple ID kwenye Iphone 5 au Iphone 5s

Msaada Wa Kutoa Apple ID kwenye Iphone 5 au Iphone 5s

Kama umenunua mpya online itakuwaje na apple ID ya owner mwingine? Sema ukweli umenunua ya wizi unajidai umenunua mpya. mpe mtoto achezee ishakuwa toy hiyo huwezi ifungua

unaongea pumba kweli... oooh samahani kumbe ni mgeni.... hii ni forum na sio saluni ya wadada,toa msaada huna kaa kimya,wanaojua watasema.... jipange mkuu unaongea na wengi sio watoto wa dada yako jiheshimu na kua
back to the topic
mkuu inafunguka sema itakucost a lot above 155k kuunlock mzigo, kutengeneza id sio ishu unaweza ila kumtoa mshkaji kwenye OS7.1 ni balaa.. hii system mpya ya apple ime aim kumtoza pesa mtu anayeuza au kuiba in that case kutoa system nzima kunahusika,kama huna haraka sana ihifadhi tafuta mtu mwenye tools za kueleweka sio tiny umbrella ka 4s na 4 hii kitu inahitaji heavier tools ambazo zinauzwa na hapo ndipo itakapo ku-cost mkuu.
ingia google fanya research nothing is locked especialy in softwares mkuu,
fanya research utafanikiwa.
 
tools gani hizo?
 
Nina Iphone 5 ina IOS 7.1 lakn imestack kwenye Apple ID ya the owner na nimeinunua mpya online..plz help me

kama ni kweli umenunua mpya unayo haki ya ku-complain kwa wakala wako aliyekuuzia la sivyo hakuna cha kufanya hapo ndugu.
 
Na tatizo ka hilo mi bado ipo locked ila natumia router ungekuwa mby ningekusaidia umenunua wap?

Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Na tatizo ka hilo mi bado ipo locked ila natumia router ungekuwa mby ningekusaidia umenunua wap?

Sent from my iPhone 5 using JamiiForums

Mkuu, unatumia ruter vizur KWA kutumia cm hiyo??
 
Kaka acha ushamba bhana hujawahi kuona kitu kama hicho hahaha tembelea ebay ukaone ....unauziwa kama hiyo lakn kwa bei nafuu..
 
Na tatizo ka hilo mi bado ipo locked ila natumia router ungekuwa mby ningekusaidia umenunua wap?

Sent from my iPhone 5 using JamiiForums

Router na iPhone iliyo locked kwa Apple ID kuna uhusiano gani hapo? Maana router ni kwaajili ya kutengeneza overlay internet network sasa kama simu imekuwa Locked na inachokitaka ni uweke Apple ID tu utaweza vipi kupata access ya hiyo internet?au hujui kinachoongelewa hapa?
 
Ni appl gani zakusave rington kweny iphone
kuna hizi Ringtones, Ringtone Maker Pro, Ringtone Designer Pro, Ringtone HD and Ringtone Remix. [FONT=Helvetica Neue, Arial, sans-serif]zipo za free na za kununua. tengeneza ringtone kutoka kwenye library yako ya miziki ya iPhone alafu chomeka simu kwenye itunes ili uSynchronize hizo ringtones kwenye music library ya simu..[/FONT]
 
Msaada wakuu naitaji niwe nahamisha miziki 'photo kutoka kwenye gallax min kwenda iphone so nitumie appl gan kifanya iyo kazi
 
Back
Top Bottom