Msaada wa Kutengeneza Website:

Msaada wa Kutengeneza Website:

PastorA

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
361
Reaction score
275
Wakuu naomba msaada wa kutengeneza website, zile za bure, naomba instructions nijitahidi kutengeneza. Asante
 
kutengeneza bure utaweza kazi ipo kwenye design lazima pesa itakutoka mkuu maana mafanikio hayaji bure lazima udondoshe pesa, mimi naweza kukufungulia, ku design na kukufundisha jinsi ya kutumia kwa 15000 tu waweza wasiliana nami PM au piga 0743497079
 
Nahitaji kujifunza designing
 
Back
Top Bottom