Msaada wa kutengeneza simu

tiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2015
Posts
441
Reaction score
259
Ndugu wanaJamiiForums heshima kwenu.

Nilinunua simu ya Sumsung Galax S8 ambayo ni hizi wanaita T-Mobile. Sasa simu ina line 2 lakini inatumia line moja kipart kingine cha kuweka simu hakisomi, 2G na 4G ndo inafanya kazi lakini 39 haifanyi kazi japo inashika ila ukitaka kutumia mtandao haikubali. Nilipeleka kwa fundi akabadili file ikaongeza speed ya kushika lakini still 3G haishiki.

Naomba msaada wenu. Wazee wa IT naombeni msaada
 
Issue ni hardware level. T mobile ni GSM lakini huku bongo tunatumia CDMA for 3G. So haiwez fanya kazi kutokana kwamba hyo simu ni ya GSM networks na sio CDMA tunayotumia huku. Ni very know issue kuwa simu nyingi zilizotengezwa specifically for certain US carriers hazifanyi kazi sehemu nyingi sana duniani hata kama ni unlocked
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…