Wanajamii naombeni msaada wenu katika hili suala, ninataka kutengeneza web based application ambayo inaweza ikatumika katika secta za elimu especially vyuoni, nataka iwe the best, sasa nilikuwa nahitaji topic muhimu (idea) mfano( student registration application,library management application,e-learning etc.) ili nianze kuifanyia kazi, nahitaji nifahamu features za hiyo application ambazo nadhani ndio muhimu zaidi kuifanya iwe best.
nachotaka mimi nikujifunza na pia nitoe kitu mwishoni, cha kwanza muhimu ni topic ipi to start with, yani nina kama assignment flani hivi ambayo ni competition na washikaji wenzangu, ambayo unaruhusiwa hata kucopy kazi ya mtu ila idea tu,sio code to code,alafu mwisho wa siku hizo code ulizoandika uwe na uwezo wa kuzitetea(how do u write them), yani hata ukiambiwa utengeneze mwenyewe kwa mara ya pili utaweza,kinachotakiwa ni ushindani ila mwisho wake ni kujifunza, na hii kazi sio for business, ni just tu kusoma ndugu zangu,nadhani hapo nitakuwa nimeeleweka zaidi.
nashukuru kaka, kingine nachotaka kufahamu, watu wengi wanarecommend hizo development tools mbalimbali kama hiyo ulosema joomla, sasa wengine wanasema dreamweaver, adobe dreamweaver cs's(3, 4,& 5), sasa ipi ni best kati ya zote, mimi pia ni mmoja wapo wa waumini wa uchakachuaji(torrent user). nahitaji recommendation zenu.