Msaada wa kusave documents kwenye email such photos

auxill

Member
Joined
Mar 23, 2016
Posts
6
Reaction score
5
Aseee naomba msaada jinsi ya kusave documents kwenye email such photos and others
 
Fanya hivi ingia email yako attarch hivo vitu alafu kwenye Subject waweza andika tu My,pictures & Music or heading yeyote ambao itakuwa rahisi kuikumbuka kwa upande wako alafu pale kwenye kutuma andika email yako yako tuma.ikiwa na maana hapa unajitumia vitu vyako mwenyewe hivo havitopotea kamwe ni njia ambayo mimi naitumia au unaweza ukawa una save katika cloud storage mfano Onedrive app,google drive na nyingine nyingi hizi cha umuhimu ukumbuke password na email yako maana hata simu ikiibiwa bado vitu vyako vya muhimu utavipata
 
Asante ebu nifanye ivo
 
Back
Top Bottom