Nenda katika app ya contact kipengele cha gusa menu ya hiyo App mara nyingi huwa ni dots zipo tatu. Utaona import and Export chagua Import from (tigo,voda, phone) then itakutaka uchague hizo contact uzipeleke kwenye nini hapo chagua email. Kisha iruhusu izihamishe.
Pia kila unapo save contact chagua storage ya email.
Na hakikisha auto sync ipo on. ( hii inapatikana kwenye setting, then account.
Sent by
SangaweJr