hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,230
- 8,522
Bandugu naomba msaada kwenye tuta kidogo
Kuna ndugu yangu yuko US Chicago, alikuwa anataka nimtumie matunda kutoka hapa Dar es Salaam,
Sasa nimeongea na DHL na EMS wote wamesema hawasafirishi sasa kama kuna yoyote mwenye kujua kampuni ambayo naweza kuitumia tafadhali