Edwin171
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 456
- 568
Jamani laptop yangu nilimpa mtu kwa matumizi fulani ila kwa bahati mbaya akaenda kupiga window na kufuta mafaili yangu yote muhimu zikiwemo picha zaidi ya 3500,Audio zaidi ya 10000,video zaidi ya 1000 pia hivyo kama kuna mtaalamu anayeweza kurudisha hata kwa kulipia wakuu niko tayari
Natanguliza shukrani wakuu
Natanguliza shukrani wakuu