Shida ya unakuta mtu mwingine kaweka recovery phone number ambayo alipopoteza hakuhangaika kurenew, mwaka wa kuzaliwa tarehe na mwezi alijiwekea tu na kasahau hapo inakuwa ngumu kujiridhisha.
Tena siku hizi gmail kuna kitu wameongeza, usipoingia kwenye email yako kwa muda kadhaa kama sio miezi 24 wanafuta email na kila kilichopo ndani.