Msaada wa kuroot nokia xl

matevez

Member
Joined
Apr 15, 2014
Posts
67
Reaction score
19
Wadau wote hasa Chief-Mkwawa, mwlact, na wengine wote msaada hapo nataman sana hii kitu niifanyie rooting, nawasubiri
 
Last edited by a moderator:
Hio ni simu ya aosp almost app zote za kuroot automatic inakubali, jaribu framaroot au kingroot
 
Tatizo kwenye kingroot, inakubali kama utapata option ya access ya kuwa developer ambayo nimeisaka kwenye hii sijaipata kaka nisaidie chifu..
 
Kuna kingoroot na kingroot. Ipo ya pc na app ya android. Hio ya pc inahitaji usb debuging iwe on hivyo utahitaji kuingia kwenye developer mode ila king root haihitaji.

Anza na framaroot inakubali fresh tu kwa simu hizo, ikikataa tumia kingroot.

Kuingia developer mode jaribu kwenda setting halafu about then kwenye software version tap mara 5
 
Let me try then nakuja na fees back chifu
 
Aseee chifu framaroot imegoma inaleta error kwa supersu inagoma na hakuna option ingine, then ngoja nijaribu king root, ila tatizo pale kwa developer access nsiyo shida nimegonga zaid ya tano lakini haifunguki kaka pale kwenye software v.
 
Aseee chifu nayo imezingua bana inaniambia nijaribu pc v.
 
Dah hii kitu ya kuroot nokia xl nimejarbu bila mafanikio hapa ntapata darasa zima
 
Ngoja tusubili wadau nao wamejificha hawatak tokea kaka
 
Dah hii kitu ya kuroot nokia xl nimejarbu bila mafanikio hapa ntapata darasa zima

Kuna mtu aliniambia huwezi kuroot (Nokia X,Nokia X2 na Nokia XL),tunaweza kupata majibu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…