Msaada wa kurestore App store

Dr Matola PhD

Platinum Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
61,429
Reaction score
108,577
Wakuu nimepoteza simu ninayotumia sasa nina kimeo cha Oppo A57 imebidi kinistiri kwa muda lakini sioni app store ili niweze kuziupdate apps kama Whattsapp na mimi si mtundu kwenye angle hiyo naomba muongozo.
 
tumia google framework update, japo kama ni toleo la 2016 whatsapp watakuwa wanakublock daily na hata X hautadownload kikubwa update chrome and enjoy
 
Sasa ukiwa unablockiwa daily si mtihani huo?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…