Msaada wa kureset samsung j7 pro

Yaani umefungua email umeishau na namba ya simu iliyoitumia kufungua hiyo email umeisahau
Sasa unataka kuludisha nini hapo kiongozi
 
Yaani umefungua email umeishau na namba ya simu iliyoitumia kufungua hiyo email umeisahau
Sasa unataka kuludisha nini hapo kiongozi
Shida yangu mm ni restore hii simu iwe kama mpya yaan kama imetoka kiwamdan vile
 
Mkuu kuwa mkweli ili usaidike kwa urahisi, yaan hukumbuki email na namba ya simu na password zote? Ina maana hakuna emails huwa unapokea kwenye simu yako? Gmail haiko active??
 
Mkuu kuwa mkweli ili usaidike kwa urahisi, yaan hukumbuki email na namba ya simu na password zote? Ina maana hakuna emails huwa unapokea kwenye simu yako? Gmail haiko active??
Kaka ipo hv hii simu mm nilifunguliwa kila kitu baada ya hapo mm nilichalog out account ya jamaa then nikaweka ya kwangu utata unakuja nilitaka ni format nikaweza kila kitu ikaja sehemu ya kuingiza email nikaweka email yangu na password lakn ina niambia niingiza previously email nika mcheck aliyenifungulia aknitajia email yale nayo inagomaa sasa sijui umenielewa hapo
 
Eeenhe mkafikia wapi baada ya hapo ci uibypass tu
 
Kama unaweza ni saidia step by step ya kuflash simu kwa kutumia pc niambie kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…