mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Wewe ndiyo kichwa kibovu tuuh..!Heading 'jamani msaada japo sio sahihi'
Mimi sijaelewa kitu gani hapo ulichoandika ambacho sio sahihi
Tuliza wenge.. Ulivyoandika tu inaonyesha that is not your original idea.. Ni kama umesonteshewa now unakurupuka...Waungwana nadhani muko wazima
Naombeni munisaidie nataka kuandika Business Plan ila itakua ni non Profit lengo langu ni kutoa elimu juuu ya H.I.V and AIDS na Kuelimisha vijana wadogo kushuhulikia masomo kwa kutokujiingiza katika mapenzi yatakayopelekea hio HIV ila pia najikite katika Analy sex Huku kwetu kunaonekana kuzuka pimbi kubwa la kujishuhulisha na matumizi ya 0713 hasa huwarubuni watoto wadogo chini ya mika 15 tena wa kiume kwa hio sio mda watashamirisha mapenzi ya jinsia 1 sasa mimi nataka nitowe hio elimu mashuleni vyuoni na makani
Ishaaalah
Nipeni muongozo namna mzuri itakayvyopelekea kupata mfadhili ama mfadhili kwa mradi kama huo namtoa wapi nikishakuikamilisha?
Natanguliza shukrani
Heading 'jamani msaada japo sio sahihi'
Mimi sijaelewa kitu gani hapo ulichoandika ambacho sio sahihi
Thanks mkuu The BossMerry X mas
My JoThanks mkuu The Boss
Merry Xmas na mwaka mpya mwema Mwenyezi Mungu akipenda
HIYO NI PROJECT PROPOSAL MKUU SIO BUSINESS PLAN! TENA KAMA UNASHIDA NJOO PM NIKUSAIDIE MEMORANDUM YAKE!Waungwana nadhani muko wazima
Naombeni munisaidie nataka kuandika Business Plan ila itakua ni non Profit lengo langu ni kutoa elimu juuu ya H.I.V and AIDS na Kuelimisha vijana wadogo kushuhulikia masomo kwa kutokujiingiza katika mapenzi yatakayopelekea hio HIV ila pia najikite katika Analy sex Huku kwetu kunaonekana kuzuka pimbi kubwa la kujishuhulisha na matumizi ya 0713 hasa huwarubuni watoto wadogo chini ya mika 15 tena wa kiume kwa hio sio mda watashamirisha mapenzi ya jinsia 1 sasa mimi nataka nitowe hio elimu mashuleni vyuoni na makani
Ishaaalah
Nipeni muongozo namna mzuri itakayvyopelekea kupata mfadhili ama mfadhili kwa mradi kama huo namtoa wapi nikishakuikamilisha?
Natanguliza shukrani
Ana maana sio sahihi kupiga dili elewa lengo lake ni kufanya mradi huo kama dili la kupiga hela kutoka kwa wafadhili..upo?![emoji102]Heading 'jamani msaada japo sio sahihi'
Mimi sijaelewa kitu gani hapo ulichoandika ambacho sio sahihi
AnhaaAna maana sio sahihi kupiga dili elewa lengo lake ni kufanya mradi huo kama dili la kupiga hela kutoka kwa wafadhili..upo?![emoji102]