Mkuu ingia mitandaoni na ku google jinsi ya kupata vita ya Mexico 🇲🇽, mtanzania unahitajika uwe na vita na ni kati ya 30days to 90 days(ndio ina expire),goggle kutafuta balozi za Mexico jirani yetu na mara nyingi wanapenda uwepo pale,kuna documents nyingi(almost 10)za kujaza, mwambie asikate tamaa kama ana Nia atapata tu,unaona jinsi ushenzi wa watanzania wanavyojibia uzi huu yaani ni kukatishana tamaa na jealous za kishenzi tu, raia wa Mexico wengi hawakimbiliii USA ,isipokuwa Mexico ni transit kama Tanzania kwa wakimbizi wa somalia, Ethiopia wanaokimbilia SA,drugs yes ni tatizo ila tatizo hili nalo ni kubwa mno hapa hapa nchini,kinondoni ni rahisi kupata cocaine next corner than to get a bread