mbona vingi tu mkuu ? nenda sidoHabari za usiku ndugu , langu la leo nina omba msaada wa kupata vifungashio vya chupa kuanzia Lita 1 - 5 kwa ajili ya bizaa kama asali na mafuta
Unaomba msaada wa kujua vilipo au unaomba humu mtu akupe vifungashio?
we kibokooKama upo dar... Kariakoo sokoni kule utapata vingi vya kila aina, kama upo Dodoma kuna duka nyuma ya jengo la ccm mkoa.Nikijuwa vilipo nitatumia namna nyengine sasa ya navipataje