naomba kama kuna mtu anajua njia nyingine ya kupata configuration za tigo internet kwenye simu,maana nimejaribu njia ya kuandika WAP MODEL YA SIMU na kutuma kwenda namba 500 lakini message ya confg. haikurudi nikajaribu kutumia ktk menyu ya lain zao ktk wezesha simu yako lakini bado,sijui tatizo nini hawa tigo?