TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,297
Wakuu, nauliza naweza kupata software inaonyesha mfanyakazi ameingia saa ngapi, ametoka saa ngapi, na hiyo taarifa imfikie mwajiri mda huo huo, iwe kwa njia ya sms au email, msaada wadau.
Si kazini tunatumia daftari. Ukifika unaandika jina sahihi na muda wa kuingia. Ikija hii machine ya Biometric security machine nahisi watu watalia sana. Maana mtu anafika saa 4 asubuhi anaandika saa 1
Bila shaka itakuwa ofis fulani fulani za serikali hasa Halmashauri.
Wakuu, nauliza naweza kupata software inaonyesha mfanyakazi ameingia saa ngapi, ametoka saa ngapi, na hiyo taarifa imfikie mwajiri mda huo huo, iwe kwa njia ya sms au email, msaada wadau.